🤣🤣Mwigulu kamua baba kamua mpaka kieleweke....Ongeza tozo ikiwezekana!
🤣🤣🤣Kibonzo cha leo na kipanya
Mkama maziwa mwenyewe kotii la kijani na buti kijani hataki kuelewa anakamua mpaka ng'ombe dume ni huzuni kwa kwelii ...View attachment 2339849
Location ya hiyo barber shop plzzz😊
🤜
🤣🤣🤣Be prepared View attachment 2340368
Duuh! Si adanganye tu kama hajui🙄
Kabisa..Halafu kweli ujue![]()