Wanaokula mashoga wana roho ngumuu sanaa cheki miguu ilivyomikavuu kama kuni kutoka jangwa la sahara
Naaaaambyuti byuti
Huyu dada anapatikana wapi nimlushie ka senti amwagilie moyo huko alipo.
Bila kusahau buzz ni bomba celtel
Yupo Instagram...Huyu dada anapatikana wapi nimlushie ka senti amwagilie moyo huko alipo.
Huu uzi unyama mtupu hauwezi fananisha na yale maghorofa ya yanga

