Mbona hesabu rahisi tu...Weweunaelala ndani na mkeo, bei yako ngapi?
gar ya mwakatobeView attachment 2317051
Na gari yao ilikuwa hiyo
Bei yake ni almost bure, tena ukute ni kijana wa hovyo bei yake hatoshani na sahani ya mchele kwa mma Ntilie.Weweunaelala ndani na mkeo, bei yako ngapi?
Hii namna mpya ya kuomba vocha..? Bora nyie mkikwama mnaweza kuomba hata vocha. Mwanamke akiwa tapeli ninkupenda kwake tu..Nyie wanaume wa vituko,muwe mnamwaga vocha hapa![]()