Last time nilijua haya mambo ni jokes kumbe kweli kabisa.. kuna moja inasema eti jifunze jinsi ya kuinua kiti cha blue kutoka ardhini ikapata viewers 1.2MNtarudi baadae endeleeni kuniangaliziaView attachment 1260058
Hiyo ya mlango kuna jamaa alitoa comment akimuomba huyo aliye upload hiyo video kua next tutorial afanye kwenye dirisha....nilichekaaLast time nilijua haya mambo ni jokes kumbe kweli kabisa.. kuna moja inasema eti jifunze jinsi ya kuinua kiti cha blue kutoka ardhini ikapata viewers 1.2M
Nyingine eti jifunze kufunga mlango maviu kibao...
Yaani kuna watu wajinga duniani
Nilijua mguu wa kukuHata kibaka hachomoi hiyo!View attachment 1260059

Mchina ni mchina tu hata awe mtoto vipi
Anaweka chumvi
Could be real?Did time travel exist?!View attachment 1260249