Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 10,416
- 18,445
Mbona sijaona hicho kitabuHahahaha huyu jamaa nidio binaadamu mwenye taaluma nyingi duniani. Astronaut yeye,Doctor yeye, teacher yeye,Mfanyakazi yeye,Fundi bomba yeye,msuruhisha ugomvi yeye nk nk..
Hakuna kazi hajawahi fanya na malipo yake hua ni kitu kimoja tu.. Kusoma kitabu kama hapo anavyofanya





