antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,098
- 133,425
Hahaha jamani wanawake mupunguze basi kugawa gawa mbususu hizoMke
MUME: “Mke wangu nasikia bwana Makanyaga katembea na wake za watu wooote hapa mtaani kasoro mmoja tu!”
MKE: “Mmmh! basi huyo aliebaki atakuwa MAMA MBILINGE, maana yule mama ndo ANAJIFANYAGA MGUMU sanaaa.!!”
Je, huyu mama angekuwa mkeo ungekuwa na swali lingine la kumuuliza?
TV haiwezi kugeuka ikawa simu kwa kwa matumizi ya wengine?MKE Vs MCHEPUKO
Mke ni kama Tv na Mchepuko ni kama Simu.
Nyumbani unaangalia Tv lakini ukitoka unatoka na simu.
Mara chache unafurahia Tv lakini Muda mrefu unacheza na simu yako.
Tv waweza tumia bure, lakini Simu kama hujalipia hupati huduma.
Tv ni kubwa, nzito na wakati wote ni ya zamani. Lakini simu ni nzuri, nyembamba, na ni rahisi kubeba (portable) na unafurahia kwenda nayo popote!
Gharama za huduma za tv ni ndogo sana, Lakini gharama za huduma za Simu ni kubwa na pia ni lazima kuzitimiza.
Tv ina remote lakini Simu haina.
Kitu muhimu zaidi simu ina njia mbili za kuwasiliana: unaongea na unasikiliza. Lakini Tv unalazimika kusikiliza hata kama hutaki!
Unaweza kununua Tv mara moja na ukatumia kwa kipindi kirefu, lakini Simu mara zote unabadilisha inategemea tu na fasheni.
Ya mwisho na ya kuzingatia:
Tv haina Virusi lakini Simu inavyo..
KUWA MAKINI.
Inaweza.. hasa kama ni smart tvTV haiwezi kugeuka ikawa simu kwa kwa matumizi ya wengine?
Huyu ni mwanaume au jike?
😂😂😂😂😂😂😂😂Tofauti kati ya Binti wa Kizungu na Binti wa Kibongo mwanamme anapotoka kuoga:
Binti wa Kizungu: Baby, you look nice and fresh😍
Binti wa Kibongo: Naona safari imeiva, Mwanaume hupumziki kama nesi wa zamu tuu 🙄
Aiseee..........🤣🤣🤣
Mlinzi
High school Flashback!!
Watchman : Amkeni muende morning preps.
Allan : Mimi ni mgonjwa.
Watchman : Unaumwa na nini hiyo?
Allan : Binomial Nomenclature..
Watchman : Eeh, lala tu kijana. Hiyo kitu ni
hatari sanaaa. Imeuwa mno watu South Africa[emoji4]
Hawakosi hakiba hao [emoji23]View attachment 2311731
[emoji1787][emoji1787]
[emoji16][emoji16]Tofauti kati ya Binti wa Kizungu na Binti wa Kibongo mwanamme anapotoka kuoga:
Binti wa Kizungu: Baby, you look nice and fresh[emoji7]
Binti wa Kibongo: Naona safari imeiva, Mwanaume hupumziki kama nesi wa zamu tuu [emoji849]