Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_16588128066559867.jpg
 
Jamaa na demu wake:

Jamaa aliamua kumtoa demu wake out kwaajili ya chakula cha usiku.. Kufika hotelini wakakaa mezani mhudumu akaja,

Mhudumu: kaka nikuhudumie nini,
Jamaa: afathal NILETEE MENU LIST
Mhudumu: dada na wewe?
Demu: (akajibu kwa pozi huku akibana pua): “...eehh, yah.. NA MIMI NILETEE MENU LIST ILA USIWEKE PILIPILI NYINGI”
Chezea mburula weye😊
 
If…
99 is: Ninety nine,
88 is: Eighty eight,
77 is: Seventy seven,
66 is: Sixty six,
55 is: Fifty five,
44 is: Forty four,
33 is: Thirty three,
22 is: Twenty two,
Why is 11 not Onety one?
Wazungu msitufanye Viazi bhana….🙄🤔
 

Mimba​


Mfugaji mmoja alikwenda kwa mfugaji mwenzake (ambaye pia ni bwana mifugo wa eneo lao) asubuhi moja.
Alipiga hodi mtoto wa kiume wa umri upatao miaka 12 akamfungulia mlango. Mazungumzo yafuatayo yakajiri:

Mkulima: Baba yako yupo?
Mtoto: Hapana Mzee, amekwenda mjini.
Mkulima: Mama je?
Mtoto: Naye kaenda mjini na baba.
Mkulima: Kaka yako Howard yupo?
Mtoto: Nae hayupo, wote yeye, baba na mama wamekwenda mjini. Kwani una shida gani? Kama kuna kitu unahitaji niambie maana nimeachiwa funguo na najua vifaa vinapowekwa.
Mzee akawaza kidogo halafu akasema: Kwa kweli nilitaka kuongea na baba, mama au kaka yako kwa kuwa kaka yako amempa mimba binti yangu.

Mtoto akafikiria kidogo halafu akasema: Kusema kweli itabidi umsubirie baba, ila kwa kukusaidia ni kuwa baba hulipisha shilingi laki moja kwa kupandisha dume la ng’ombe na elfu hamsini kwa beberu. Ila sijui baba hutoza Bei ngapi kwa Howard kutia mimba😊
 
Back
Top Bottom