Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Au wanawake ndio matatizo ya duniani
IMG_20220726_001849.jpg
 
We’re worms and y’all men still loves us 👽
Even if you are a warm I will still love you...

Huaga mnamaswali... Umejichokea zako hapo unakutan ana maswali kama haya kutoka Kwa Depal

Ati babe hivi nikizima kwenye kikombe Cha chai utaniokoa au utaniacha nife...

Ati babe Mimi na Kitanda nani Bora zaidi kwako...
 
Back
Top Bottom