Na hii 11 tutaita onety onety sio?Eleven eleven!
Ndio maana hata 2020 tunaiita twenty twenty
Unaipiga picha unantumia mwamba wa maths eikeiei mathematician
What??Me sijaelewa ulichoki'reply aysee?!HuhHuyu john sins atachoka humu ndani mleteni na kisa sins wake wapumzike vizuri