Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Huyu binti walisema alikufa siku ile....[emoji16][emoji16]View attachment 2301647
Kama alipona hatarudia tena kushiriki haya mashindano ya kunywa pombe kali
Huyu binti walisema alikufa siku ile....[emoji16][emoji16]View attachment 2301647
Ikulu kuko wazi au macho yangu?
[emoji16][emoji16]unatkiwa uonane na jopo la madaktari kabisaUkiona unaanza kuvuka namba 10 bado hujapata unachokitafuta ni muda mzuri wa kufikiria kuonana na watoa nasaha na tiba za uraibu [emoji16][emoji16][emoji16]
Kama una hiyo story naomba nitumie mkuuHuyu binti walisema alikufa siku ile....
Kama alipona hatarudia tena kushiriki haya mashindano ya kunywa pombe kali
Ni mwaka jana nadhani. Huko Telegram. Yalikuwa mashindano ya kupiga vishoti vya Vodka. Alizima wakamkimbiza hospitali na baadaye wakasema aliaga dunia. Nikiipata nitakupa link...na video yake...Kama una hiyo story naomba nitumie mkuu
Oyaaaa ehh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
Oyaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenikumbusha kitu[emoji16][emoji16]View attachment 2301647
Anaweza kuiachia[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu kwann hiyo bag usimpe ashike huo mkono mmoja alafu umvute ukaokoa vyote