Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

[emoji21]
FB_IMG_3778022532022423951.jpg
 
Kama ulikua hujui kuwa duniani kuna KABILA ambalo ASALI huita jina linalofanana na SEHEMU ZA SIRI wacha nikufahamishe:-


Kabila hilo lipo barani Afrika tena Afrika Mashariki,

Kabila hilo lipo Afrika Mashariki tena nchini Tanzania,
Kabila hilo ASALI inajulikana kwa jina la WUCHI[emoji1787][emoji1787][emoji1787],
Ndio, sijakosea inaitwa WUCHI na rudia inaitwa WUCHI[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],
Kabila hilo sio lengine ni kabila la WAGOGO,
Kabila la WAGOGO ASALI inaitwa WUCHI ndio WUCHI[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],
Sio UCHI ni WUCHI maana yake ndio hiyo ASALI[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],

ASALI kigogo ni WUCHI na WUCHI ni ASALI[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],


Kwahiyo Huyo dada hapo chini anakula WUCHI nadhani umenielewa[emoji1787][emoji1787],
Kama unadhani nasema uongo muulize mgogo hapo,
.View attachment 2294212
Ebu eleza kidogo na akina mboro kule uchagani, wapo?
 
Back
Top Bottom