omolo monday
Member
- Jun 6, 2022
- 18
- 13
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kilichoiponza timu ya watoto Zambia:
Journalist: How do u feel after scoring the winning goal which put your team through to the quarter finals?
Player: Am very happy and I dedicate the goal to my wife and 3 kids, I know they're watching.. Love u guys[emoji2772]
This is how Zambia's U-17 team was disqualified from the tournament in Rwanda[emoji849]
Under 17 player married with 3 kids[emoji848][emoji849]
Love Africa[emoji28]
[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23] aisee noma sana [emoji114]Kipindi tupo advance tulikuwa na jamaa jembe kweli kweli, wakati sie tuko mbele tunavizia yeye huku nyuma yuko peke ake anakaba[emoji16][emoji16] labda na mwingine mmoja au wawili tu wakimsaidia jamaa alikuwa na nguvu kama hawafu!! Nakumbuka tulikuja kufungwa fainali kwa mbinde tukawa washindi wa pili.
Mwamba kuna siku hakuja shule tulimfata na boda mpaka nyumbani kwao tukaelekezwa yupo mbali tukamfata hukohuko aje aokoe jahazi[emoji16][emoji16][emoji16]
Nikiona mtu akiwa katika hali hii sitii neno. Najua anachopitia kabla. Shukrani kwa Mshana Jr nafasi yako peponi hakika
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706] na mtu akilala na mimi kimakosa nitasamehewa?Ushauri bora kabisa [emoji122][emoji122][emoji122]
View attachment 2284766
Weweeee![emoji706][emoji706][emoji706][emoji706] na mtu akilala na mimi kimakosa nitasamehewa?
Unaona? Si kila ushauri unafaa mwingine wa kutupa [emoji706][emoji706][emoji706]Weweeee!
Hapo ni talaka moja kwa moja [emoji51][emoji51][emoji51][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Zingatia ushauri huo ndoa yako isitetereke [emoji16][emoji16][emoji16]Unaona? Si kila ushauri unafaa mwingine wa kutupa [emoji706][emoji706][emoji706]
Inaanzia kutetereka pale mtu anapoanza kulala na watu kimakosaZingatia ushauri huo ndoa yako isitetereke [emoji16][emoji16][emoji16]
Huu ni ugonjwa....au allergy