Vituko mitandaoni. Tupia chako

Yaani tukio moja lakini vituko vipo vingi ndani yake

1.mpishano wa umri (mume alifaa awe mjukuu na mke awe nyanya)
2.mpishano wa mshkaji na jina lake (anaonekana bishoo lakini jina lake "Quran" ni maneno matukufu yanayoongoza waislamu)
3.mpishano wa umri na sura ya mwanamama (umri unaonesha ni mzee ila sura anaonekana kikongwe)
4.wanataka mtoto (huku wakijua kabisa hawezi kuzaa)
5.wametafuta mtu wa kubeba mimba (duh...)
Na kadhalika
 
Subiri nimuite bro shimba [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hili haiwezekani huku ni kuleeee kwa wala ugali na picha ya nyama

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Nishamjibu huyu ngosha wa Kipare....

Ama ni Green City au kule kule kwa wala makande! [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…