Mervin
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 1,917
- 2,643
Ongeza speed ya kula karoti na mchicha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Tulia bwana wewe mbona hivyo
Ongeza speed ya kula karoti na mchicha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Tulia bwana wewe mbona hivyo
Uwe unatoa nyepesi sasa ili zawadi ziwe zinakutoka kila siku[emoji12]Kwani mimi natoaga homuweki za bure?
Sawa mkuu[emoji16][emoji16]Ongeza speed ya kula karoti na mchicha
Kobe
Umetaja sita halafu jumla watano tenaKobe
Tembo
Mbwa
Mbuzi
Paka
Panya
Mtu
Jumla 6
Umeshaelewaa mkuu. Big up!Umetaja sita halafu jumla watano tena
Umetaja saba. Mimi nimemuona na samaki etiKobe
Tembo
Mbwa
Mbuzi
Paka
Panya
Mtu
Jumla 6
Umenikumbusha mrembo wangu ngoja wikend hii nimstue tuka enjoy[emoji419][emoji419][emoji419][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2277771
Duh...kwema lakini?[emoji91]
Kwema rafiki yanguDuh...kwema lakini?
Huo moto unatokea wapi?[emoji91]
Kuna wanyama 13Umetaja saba. Mimi nimemuona na samaki eti
Mwili unatoa mwanga kama wa motoHuo moto unatokea wapi?
Niko poa kabisaKwema rafiki yangu
Bila shaka uko poa
Duuuh noma sanaKuna wanyama 13
Nafurahi kama uko poa bestNiko poa kabisa
Amen. Leo nakeshaNafurahi kama uko poa best
Safi sanaAmen. Leo nakesha
[emoji123][emoji123][emoji123]Safi sana
Mara moja moja si mbaya best