Kwa nini uende sleepover kwa demu? Unataka kufa kabla ya wakati wako?

Tall dark guy...












iPhone nazo bomu tu. Afadhali ungesema Samsung angalau



Kumbe nsio maana sie kina mzabzab ni wenye sura pesono
Wanne so far....wale wa ukweli kabisa ambalo nishawala!






Halafu watu wakisikia mmoja kauliwa ndo wanashangaa. Mbona walikuwa power couple? Power couple mai futi!Ndiyo maisha yanavyotakiwa kuwa. Nje unaonekana una furaha, ndani unapambana na yako
Nitume miamala ili tu niongeleshwe? Hata kama angekuwa bado bikra tena mlimbwende kama malaika, mwenye tabia njema, mpole, mkarimu, asiye na kiburi na majivuno...na mtako wa kufa mtu siwezi ng'o!








Akafie mbaliNitume miamala ili tu niongeleshwe? Hata kama angekuwa bado bikra tena mlimbwende kama malaika siwezi![]()
EehWanne so far....wale wa ukweli kabisa ambalo nishawala!
Ukiongeza na wa mchongo - six![]()

Kakutana na pango la wanyang'anyi 🤣
Noma sana
Definitely