Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Fungua mkono huo ooooohSiku hizi bila miamala utabwabwaja mpaka uishiwe nguvu![]()
Block him !
Or just ignore him!
He is a player!
He is a loser!
He doesn't deserve an angel like you....
Dump him....
Mama Mchungajii![]()




Kwenye public watu watasema umeoa malaika kumbe moto unaokuwakia huko ndani ni siri yako. Ndoa zina mambo mengi...
Wengine mapadri na maaskofu walikuwa wanawafanyia ndiyo-siyo na sasa hawataki hata kusikia habari za hayo mambo. Sad!
Ndiyo maisha yanavyotakiwa kuwa. Nje unaonekana una furaha, ndani unapambana na yakoKwenye public watu watasema umeoa malaika kumbe moto unaokuwakia huko ndani ni siri yako. Ndoa zina mambo mengi...
Daah Mungu awagange mioyo yaoWengine mapadri na maaskofu walikuwa wanawafanyia ndiyo-siyo na sasa hawataki hata kusikia habari za hayo mambo. Sad!

