Akiugua kwa muda mrefu tutajua tu
Mashangazi tunaonewa sana
Wenyewe wanaita simu moja laini mbili au utasikia anasema anacheza miguu yote miwiliSasa hivi viwili vyote wanavitumiaje?.au ndo wanaingiza mbele na nyuma kwa mpigo?
Unatumia nguvu kubwa sana kuliponda. Ila ndio tushabeba
Huyo ambaya yupo yeye peke yake hatuoi sembuse mwenye mtoto wa kidume mwengine
Hahaa.. atakua amenipa nafasi ya kutolipa hela ya kunyoa