Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,376



Huyu mjuba ilikuwaje nae kalala kama ndezi, wanaume hatulali hivyo hilo moja, pili mwanaume ukienda gesti, lodge, hotel popote pale na mtu sio mkeo wewe ndio unapaswa kuwa wa kwanza kuamka.