Wanaigiza[emoji23]Bongo movie hao,sema huyu siku dishi mawimbi yakisoma vizuri anasemaga uhalisia wa maisha yake
Eti nani apikie wajinga[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama unapata sup uje na chakula chako kabisa[emoji16]Eti nani apikie wajinga[emoji23][emoji23][emoji23]
Mmhuu [emoji848]Ukweli wa mwanamke ulie nae kwa sasa... #kushnei zindekhi
View attachment 2272044