Mimi hata demu akinichora jina hivi, swali la kwanza namuuliza jinsia ya mchoraji. Akijibu tu, huo ndio mwisho wa penzi.
Ndiyo mkuu,we unanionaje? Nina mwili wa kulalalalaVigimbi kwani wewe ni mkimbiaji
Sawa bwana...gud morning teacher. Lesson ya leo ni nini?Ndiyo mkuu,we unanionaje? Nina mwili wa kulalalala
AmenAhsante Mungu[emoji1545]View attachment 2268347
Itabidi umchore mwenyewe[emoji23]Mimi hata demu akinichora jina hivi, swali la kwanza namuuliza jinsia ya mchoraji. Akijibu tu, huo ndio mwisho wa penzi.
Mkuu lazima nipate visa niende huko nione nafanyaje hiki kidole, siwezi kulala njaa wakati utajiri nakanyagia vidoleni[emoji16][emoji16]Ukipata niite mimi umbwa niko nimekaa pale nakusubiri.[emoji23]
Wanawake sikuhizi mnatuweza
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanawake sikuhizi mnatuwezaView attachment 2268700