myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,136
Duh...Hatari sana#HABARI Polisi nchini Kenya wamemkamata mwanaume mmoja Ndirangu Wahome katika kaunti ya Nyandarua kwa tuhuma za kuwauzia watu sambusa za nyama ya mbwa bila wao kujua
Wananchi wa eneo hilo wanasema kwa muda mrefu wamekuwa wakila vitafunwa hivyo wanavyodai vilikuwa vitamu na ladha tofauti bila kujua kuwa ndani yake sio nyama ya kawaida inayotumikaView attachment 2254493
Aisee...Ujinga [emoji706][emoji706][emoji706]
View attachment 2254764
Vituko kwelikweli..Viongozi na wanaoongozwa.Ila hii Jamhuri ina vituko [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2254768
😂 😂 Sawasawa jirani. Huku kwema tu jirani.Hakuna kitu hapo jirani. Labda ungekuwa ugali. Kwema lakini?
Hakuna kitu hapo jirani. Labda ungekuwa ugali [emoji16][emoji16][emoji23] [emoji23] [emoji23] wapi Shimba ya Buyenze
Labda ndiyo royo tua [emoji16]
Kelsea soma hiyoooo🤣🤣🤣🤣[emoji419][emoji419][emoji419]
View attachment 2254831
Sawa bro...Shimba natambua ninachopost ujue kaka.. Kuna vituko vya kutengeneza na kuna vituko genuine..! Na kuna vituko vya kutafakarisha na kujifunza Mimi huwa napenda kupost vyote
Mfano no 1
Hivi kuvaa hivi sio kituko kweli? Sasa hapa shida iko kwenye mwonekano,hivyo badala ya kuona kivazi baadhi yetu tunaangalia mwonekano na kuhamisha mawazo kwingine..[emoji23]
Zamani ili uone kalio ilikupasa kubinua chupi, lakini siku hizi ili uone chupi inabidi kupachua kalio. Vice versa[emoji23]View attachment 2254835
Hapo safi, Mchana huu na baridi hiiHakuna kitu hapo jirani. Labda ungekuwa ugali [emoji16][emoji16]
View attachment 2255195