Signoradellap
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 29,241
- 148,535
Hizo kucha bandia😍🤣🤣
[emoji23][emoji23]Hizo kucha bandia[emoji7][emoji1787][emoji1787]
Jamani tako zuri na mwanamke ana heshima sio hawa kina mawardat kazi kubishana na kina mzabzab baada ya ya kuheshimu de libolo
Jiheshimu mwenyewe kwanzaJamani tako zuri na mwanamke ana heshima sio hawa kina mawardat kazi kubishana na kina mzabzab baada ya ya kuheshimu de libolo
HakikaMe naona ukitaka msaidia mtu unamsaidia tu bila kutarajia lolote kutoka kwake, unaweza umsomeshe mchumba wako bila kuweka matarajio makubwa kwake maana yy pia n mwanadamu anaweza badilika.
Kama unawiwa kumsomesha, kumfungulia biashara, kumjengea, kumnunulia gari. Ww fanya kwa moyo wote bila kutarajia lolote kutoka kwake, unaweza fanya hivyo pia ikawa n msaada tu kwake na mume wake ww unakuwa kama daraja, tuna la kujifunza hapa "ukiwiwa kufanya fanya, bila kuwa na matarajio makubwa sana kutoka kwake"
Kivipi jamani...alafu wee ebu wacha utani bwana hilo tako naliona liniJiheshimu mwenyewe kwanza