Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hii imekaaje
Screenshot_20220518-091344.png
 
Jamani leo ndo ile siku Stella amerudi kutoka Japan akiwa amebeba mtoto mkononi na mume wake futi 4 kwenda juu, kwa tuliokuwepo 1992 naamin tunakumbuka jinsi Stella alivyotufedhehesha pale airport.
Tunapomkumbuka tukumbuke mchumba hasomeshwi.
Me naona ukitaka msaidia mtu unamsaidia tu bila kutarajia lolote kutoka kwake, unaweza umsomeshe mchumba wako bila kuweka matarajio makubwa kwake maana yy pia n mwanadamu anaweza badilika.

Kama unawiwa kumsomesha, kumfungulia biashara, kumjengea, kumnunulia gari. Ww fanya kwa moyo wote bila kutarajia lolote kutoka kwake, unaweza fanya hivyo pia ikawa n msaada tu kwake na mume wake ww unakuwa kama daraja, tuna la kujifunza hapa "ukiwiwa kufanya fanya, bila kuwa na matarajio makubwa sana kutoka kwake"
 
Back
Top Bottom