Passport size ya perfumes ipo,wale wa boarding school watakuwa wameelewa hasa ukiwa kama Mafinga, Malangali,Njombe.......
Waunganishe kwenye kipande Cha intro......maana ni unique attraction
Hongera mkuu pamoja na kuwa upande wa pili ila vitu vizuri havikupiti
Duuuh aiseee tumefika huku
Hivi inakuaje mtu unafikia hatua hii😌😌😌