Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Lugha ya malkia!
20220529_174122.jpg
 
Kidogo nizichape na Mhindi.
Maongezi yalikuwa hivi:

Munroe: Rafiki leta ile pensi
Mhindi: Ipi vana ipo ningi Sana
Munroe: Njoo na hiyo au acha nipe fulana ile au basi.
Katika kumsumbua mhindi Mara pensi Mara fulana.

Asiropoke " we sumbua Mimi taka PENZI taka FIRANA wewe ".
 
Back
Top Bottom