Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,227
- 40,718
AiseeeMila zingine bwana [emoji706][emoji706][emoji706]
View attachment 2228767
AiseeeMila zingine bwana [emoji706][emoji706][emoji706]
View attachment 2228767
Huyu jamaa boya anashindwane kurusha mrembo kwenye mashamba na kuanza kumgegeda
Kuna haja ya kutawaliwa tenaMila zingine bwana [emoji706][emoji706][emoji706]
View attachment 2228767
Haya ni matumizi mabaya ujueKazi iendelee..View attachment 2229409
Kwamba Mtumishi umepatikana mwaka huu? Shikamoo kimbaumbau Cha wenyewe. Mungu awatunze na kuitimiliza safari yenu hii nzuri ya upendo mkuu; mkafanyike baraka na somo kwa wengine. In my prayers[emoji120][emoji120]Umenikumbusha mbali sana Mtumishi Mwema. Nisamehe kwa yote aisee. Haka kakimbaumbau ni mpaka kifo kitutenganishe yaani.
Na wanasema hujafa hujaumbika. Mimi huyu kweli ni wa kubabaishwa na kakimbaumbau? Mimi huyu?
Mungu Akubariki Mtumishi Mwema. Unategemewa na wengi. Endelea kusimama katika kweli na kuokoa roho zilizopotea. Malipo yako utayakuta kwa Baba yetu mpendeka wewe [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 2229666