Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,701
Nimemtongoza fb kanikubalia,
matatizo yameanza
tayari keshaumwa njaa😂😂😂
matatizo yameanza
tayari keshaumwa njaa😂😂😂
Diana Pascal ni hatari kwa afya.Nimemtongoza fb kanikubalia,
matatizo yameanza
tayari keshaumwa njaa😂😂😂
View attachment 2226866
😂😂😂😂😂😂 ngoja kwanza uchungu wa kuitwa kidume uishe 🤣🤣🤣
Wahanga 😂😂😂😂😂😂Diana Pascal ni hatari kwa afya.
😂😂😂🙌Nimemtongoza fb kanikubalia,
matatizo yameanza
tayari keshaumwa njaa😂😂😂
View attachment 2226866
Ningetoa muongozo sema nini ujue au basi...😂😂😂😂😂😂 ngoja kwanza uchungu wa kuitwa kidume uishe 🤣🤣🤣
😂😂😂 au basiii… iache kama ilivyo, ukizidiwa tupia chobis.Ningetoa muongozo sema nini ujue au basi...
Yameisha mwana... hahaha😂😂😂 au basiii… iache kama ilivyo, ukizidiwa tupia chobis.
Hizi mambo zimenifanya nistaafu kutongoza.😀Wahanga 😂😂😂😂😂😂
Ah ah kwa kichwa gani ulicho nacho uondeke na 50




Hata sifur nimeikosa





Rangi ya utopolo haitowaacha salama
Hivi yupo arusha kweli au majanga?😅😅Diana Pascal ni hatari kwa afya.
Ni black beauty asiyejielewa.
Mimi 60... Ngoja niongeze bidii
Mama anazeeka na utamu wake