Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,378
Ndiyo… si sitting room aka sebuleni 🤣Hivi umejua nini maana ya "living room", si ndio mtakua mumejianika, halafu picha mumenogewa kama mizimu ha ha ha!!
Ndiyo… si sitting room aka sebuleni 🤣
Nitajitia uchizi, navumilia.
Hahaa nitafedheheka kwa wageni, na bwana pia atafedheheka 😂Ha ha ha!! Hivyo wageni wote wawe wanakuona ulivyokunja uso kwa kunogewa, hiyo picha inanipa raha sana kila nikiiangalia.