Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Gojazi
Uko deep na haya mambo eeeh!
[emoji23][emoji23] sasa si ungeniquote kule lkn.Halafu nimepitwa na kila kitu kule yaani. Nimekuta tu watu wanasifia. Nifanyie wepesi basi jamani kama inawezekana? [emoji16][emoji16]
Huku nimeona eti ndo nimepatiapo kaupenyo. Akili zangu nazijua mwenyewe tu sometimes [emoji16][emoji16][emoji16]
Bibi harusi ana marafiki 'vyombo' kuliko yeye, analo .Alikurupuka...Sasa apambane na hali yake [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2221914
Ni kamguu tu rafik afu kapo kule juu.Huku nimeona eti ndo nimepatiapo kaupenyo. Akili zangu nazijua mwenyewe tu sometimes [emoji16][emoji16][emoji16]
Sasa kuna kawepesi unanifanyia au ndo kwishnei? [emoji870][emoji870][emoji870][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Kwenye harusi yako usialike marafiki ambao ni vyombo kukuzidi wewe. Period!
Haya haina neno furendi...
Umekaona?Haya haina neno furendi...
Just stay blessed and enjoy every moment of your life....
Sawa sawa.Kwenye harusi yako usialike marafiki ambao ni vyombo kukuzidi wewe. Period!
Hapana. Sijaenda hata kutafuta [emoji16][emoji16][emoji16]