Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,666
- 208,787
Kwahiyo hawa walionenepa nenepa ni kimoko chaliii? 🤣🤣
Kwahiyo hawa walionenepa nenepa ni kimoko chaliii? 🤣🤣
Bwana akutangulie... Ondoa shaka...Natangulia kwa Mangi 🤸♂️🤸♂️
Hallelujah 🤗Bwana akutangulie... Ondoa shaka...
Na tembele alitafune aongeze damu.Akae mezani alambe unga wake [emoji1787][emoji1787]
Na tembele alitafune aongeze damu.Akae mezani alambe unga wake [emoji1787][emoji1787]
Ndio muwape kuona kama wasemayo ni kweli....jsije ikawa kweli alafu nyie mnajinyima utamu
Nishampa mmoja.Ndio muwape kuona kama wasemayo ni kweli....jsije ikawa kweli alafu nyie mnajinyima utamu
Hizo kwa mwanaume kama mie mbona ni siku tatu kwa jumaZisizopungua 12 😂
Hakutuwakilisha vizuri mpaka ukaamua kwenda kwa handsome boy uk share mtibwa sugar yake na wanawake wengine🤣🤣🤣🤣🤣
Na muhindi lazima akubabue[emoji1787][emoji1787]Nimeshibaaa
Nasinziaaaa
Nyieeee muhindi atanichapa [emoji2356]
Wekeni vituko nicheke usingizi ukate mawardat
Alaf wewe mwisho leo kunitania muone [emoji23]Hakutuwakilisha vizuri mpaka ukaamua kwenda kwa handsome boy uk share mtibwa sugar yake na wanawake wengine[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unataka kusemaje?
😂😂
😂😂😂😂😂 tutakaa nyuma bana wee
Najitahidigi… ila kuna binadamu wananifelisha.Uwe unalala mapema...