Duu! Polisi wameibiwa?!Nchi nzito hii. Kwamba mtu anapanga kwenda kwenye ofisi ya DPP kuiba, tena 'computer' zote? Mkurugenzi wa mashtaka au DPP yupi? Ofisi ya DPP inalindwa na ulinzi mzito. Wanaingia na kuondoka vipi na desktop [emoji335]? Kwanini waibe PC zenye taarifa za malipo ya fedha za ML? nilihoji hapa, kwanini mnapokea fedha hizo kwa mkono, tena na kupiga picha, mna violate regulations, Kumbe mpango ulikuwa huu!? MNATUTANIA!View attachment 1236772View attachment 1236773
Ipi inakatazwa?
Raju Rathtogi
MCCM wote ni wanyonge na ndiyo wanajiita hivyo.Watanzania siyo wanyonge. Nyie wanasiasa mnapenda kuwaita watanzania wanyonge ili muendelee kuwapora mali zao.
Mimi nimezunguka nchi nzima, wanyonge ni wale wakimbizi na wahamiaji haramu.
Kwanini taarifa hizo zisihifadhiwe kwa njia ya cyber??Nchi nzito hii. Kwamba mtu anapanga kwenda kwenye ofisi ya DPP kuiba, tena 'computer' zote? Mkurugenzi wa mashtaka au DPP yupi? Ofisi ya DPP inalindwa na ulinzi mzito. Wanaingia na kuondoka vipi na desktop [emoji335]? Kwanini waibe PC zenye taarifa za malipo ya fedha za ML? nilihoji hapa, kwanini mnapokea fedha hizo kwa mkono, tena na kupiga picha, mna violate regulations, Kumbe mpango ulikuwa huu!? MNATUTANIA!View attachment 1236772View attachment 1236773
Hakika imewezekana kweli kaka mkubwa....hahahaaaaImewezekana Tanzania [emoji1241]