muxar
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 1,645
- 1,341
On
mama alikuwa anapika vitumbua kwahiyo uhakika asubuhi kula.vingine ananipa naweka kwenye begi na madaftari humo humo Sina habari na kwa sababu nilikuwa sitaki kuchelewa basi naweka vya Moto hata havijachuja mafuta.siku madam anakagua madaftari mafuta ya kula tupu yani dah.
Imenikumbusha mbali aisee.niko zangu darasa la 1 2 hivi,siendi shule mpaka nile hiyo.