Kuna kitu hakiko sawa...aache kudanganya eti viatu vya kike vinampa upako. He should just come out of the closet...Si ajabu hata chupi anavaa za kike!Kuna kitu hakipo sawa hapa
anavaa viatu vya kike, akiamini vinafanya Roho Mtakatifu amshukie wakati wote na kumpatia maono ya siku zijazo.
Una jambo gani la kumwambia?View attachment 2200741View attachment 2200742View attachment 2200743



Njoo PM tuliongee hili kwa siri mjukuu. Ila kama ni yule jamaa wa Redbull akafie mbali huko na Range lake









Kasingizia viatu vp kuhusu hiyo skin jeansKuna kitu hakiko sawa...aache kudanganya eti viatu vya kike vinampa upako. He should just come out of the closet...Si ajabu hata chupi anavaa za kike!
View attachment 2200769











