Hawa jamaa matajiri sana usiwaone hivi. Hawana shida hawa!Alikokuwa jamaa kulimpenda Yuko na afya njema kabisaView attachment 2187523
Hasara zinatusaidia nini? Ripoti zako zina faida gani? Halafu hayo madudu uliyogundua si ajabu ni asilimia moja tu ya madudu yote. Hovyo tu!
Pole. Kwenda kubadilisha wanasemaje?Hawa watu wa bima sijui huwa wanawaza nini, na yangu pia ina ujinga huohuo.
Party original.Hii kitaalamu inaitwaje?View attachment 2186991
Acheni utani...
Huyu ni babe wake
