Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

..
IMG_20220407_202802.jpg
 
Mungu tumsimpe mzigo huo,maana ni sisi wenyewe

1.Poor (Stive voice) utilization of our resources

2.Government embezzlement of public fund's

3.Weaknessof government institutions

4.Corruption

5.Weakness of our constitution


Ili turudi uchumi wa kati zigeuze hizo in a positive way




Ongeza nyingine,tunaompinga kumsingizia Mungu
Na kwa huu mfumuko wa bei, kurudi kwenye uchumi wa kati 2025 uko au 2030. Kwa sasa kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake, ukihoji utaambiwa vita vya Ukraine ...

Gharama za Maisha zinapanda ilhali kipato kiko pale pale, Tsh 10k ya jana sio Tsh 10k ya leo... Reduced purchasing power

Kisha wakati wanapeana ajira wana ukoo nyie uko mnaambiwa mujiajiri serikali haina fweeeedha bin mapwesaaaaaa
 
Back
Top Bottom