Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG-20220406-WA0440.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sema mamii unanin na sisi!!!?. Kama bado hujaolewa Nakuombea upate last born tena yule alie lelewa kijukuu kabisa maana watupenda sana.
Hako kakikuta Sijapika si katasusa na kwenda kula kwa mama yake[emoji23]

ma last born inabidi mpatane wenyewe mtawezana,
 
Back
Top Bottom