Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

[emoji16]
IMG_20220402_215901_559.jpg
 
Baada ya kushiba futari nikakumbuka zamani wakati tunaanza kumiliki simu tulikua tunapiga namba 11111111111 tunaambiana ni za majini. Na kweli wakipokea wanaanza kututisha Ila mpaka leo cjui walikua ni kina nani wale

Mda mwingine walikua wanaunguruma kama mashetani vle
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na wanasema na ukipigiwa usipokee
 
Back
Top Bottom