Hapo wanawinda kama fisi,ukijichanganya hapo utatoa mpaka nauli
wakuu za asubuhi.....najua apa sio mahala pake ila kuna interaction kubwa ya member
naombeni msaada wenu jana nilikua najaribu kuactivate window kupitia KMSPICO ila ilikataa....badae file zikawa azisomi....yan document azifunguki inaneletea kama apa chini
naombeni msaada wenu niweze kufungua izo documentsView attachment 2162394View attachment 2162395View attachment 2162400