Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,301
- 9,809
Haaaaah Mimi ata kwenye issue ya kubargain sijui haaaaah siwezi mfano Sjui bodaboda twende sehemu sh ngp buku 5 nikiona kubwa nasema poa nenda haaaaah naachia tusi au nikimbembeleza naharibu natukana[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu hicho nacho kipaji si kila mtu anacho
Kimasihara inanukia😀Kama hujahama Msasani kuna siku nitakuibukia tu [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hebu tuachieni tuyachape makofi[emoji818][emoji818][emoji818][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2161319
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani hapo jamaa hana cha kumsababisha arudi huo mji maana Mvhumba ni tapeli tapeli mzoefuBinti Anasimulia:
Alikuja alieniposa (Mchumba) na nikakaa Mimi na yeye tuu, akaingia Mamangu akaweka juu ya Meza juice na Pizza, Kisha akatoka kwenda kumaliza kazi za Nyumbani akatuacha sisi peke yetu..
Akachukuwa kipande kimoja Cha Pizza Akala, nikamuuliza "vipi pizza umeipenda?
Akasema: Ndio tamu Sana..
Nikamwambia "Nimeitengeza Kwa mkono wangu (Nilimwambia hivyo ndio anipende Sana na asikimbie kutoka Kwa mkononi mwangu)
Akaanza kusifu Chakula na kunishukuru na kusifu uhodari wa upishi wangu..
Alipoondoka nilienda Kwa Mamangu na kumuuliza " Ile Pizza imetoka wapi ni tamu Sana??
Mama akasema "*Mchumba wako Ndie alikuja nayo
Aisee nilikuwa sijui kuwa ni last born. Uliwezaje kuwa ngangari hivyo wakati ni last born?[emoji16][emoji16][emoji16] hivi kumbe hujuagi kuwa mimi ni last born kumbe ningejua ningekaa kimya.
Mimi kuzira sinaga ila tatizo langu ni kuwa sijuagi kubembeleza [emoji1787][emoji1787]
La kwangu ukiligusa tu mtiti wake si wa dunia hii...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hebu tuachieni tuyachape makofi
Babu wa nini tena bibie wakati mwenye maamuzi ni weweKuja kufanyaje??
Kama ni ndoa nk,babu yupo humu,,,,,,muone babu
Watanielekeza bila shaka [emoji16]
Nadhani kwa sababu sijalelewa na wazazi.Aisee nilikuwa sijui kuwa ni last born. Uliwezaje kuwa ngangari hivyo wakati ni last born?
Mara moja moja lakini mbembeleze hubby wako hasa kama unajua ni last born. Yaani utakakamata mpaka basi [emoji16]
Sad enough utakuta baada ya kutoa hela ya kiwi ama faini, aliryhusiwa kwendelea na safari[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
View attachment 2161277
Kila mtu anakula kulingana na urefu wa kamba yake!Sad enough utakuta baada ya kutoa hela ya kiwi ama faini, aliryhusiwa kwendelea na safari
.Mfalme mungu Zumaridi. Pisi ya uhakika [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2161279
Ya?Naomba hii video
NoBabu wa nini tena bibie wakati mwenye maamuzi ni wewe
Vibaya hivyo