Vituko mitandaoni. Tupia chako

Shida kubwa itakuwa kununa na kuzira.

Aiseeeh hii tabia imenishinda kuivumilia....

Halafu nina bahati nao... sijui niseme mbayaaa....

Hao last borns, the only boys na the only child...khaaaa!!!??

Nilikiwa nanuniwa hadi najisahau kama niko kwenye mahusiano...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜„πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Nimeshindwa mimi

Nimegivu apu mimi.... πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Nilikjwa najikuta muda wote mimi ndo najibaraguza vile siwezi kaa bila kuongea...😁😁😁

Raha sana kuwa singo 🀩.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…