Hii biashara nzuri sana usipokuwa na tamaaa yaani wee utakuwa wala nyama daily nyumbani
Hii biashara nzuri sana usipokuwa na tamaaa yaani wee utakuwa wala nyama daily nyumbani
Aaah wapi,zingatia dawa sio mkate,,utaambiwa urojo utaenda znz?Acha ufala wewe tako skonsi...nipo hapa tanga nala mkate wa kumimina na samaki plus chai ya kuungwa...nimeambiwa mkate wakumimina ni dawa ya virusi
Mwanaume huna mbele wala nyuma kama mche wa sabuni.
Hakika mrembo twende zenji basiAaah wapi,zingatia dawa sio mkate,,utaambiwa urojo utaenda znz?
Nipo zenji.njoo ule urojo hapa michenzani.Hakika mrembo twende zenji basi
Haya jpili nipo hapoNipo zenji.njoo ule urojo hapa michenzani.
Sawa,tutaenda mkunazini kula urojo supa.Haya jpili nipo hapo