Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Relax last born wa CCMBado nam-mind yule boya basi tu...namsoma soma japo wala haeleweki [emoji706][emoji706][emoji706]
Relax last born wa CCMBado nam-mind yule boya basi tu...namsoma soma japo wala haeleweki [emoji706][emoji706][emoji706]
Sijaisikia hiyo aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umenikumbusha yule dada mkenya alisema
Week ya kwanza siku-loose kitu
Week ya pili siku-loose kitu
Week ya yatu nikaloose morale
Moyo sukuma damu mengine waachie walimwengu....and stay away from girls who know their worth; and are arrogant about it...[emoji16][emoji16][emoji16]Know your worth.View attachment 2150507
Daah huo moyo hadi unatisha banaMoyo sukuma damu mengine waachie walimwengu....and stay away from girls who know their worth; and are arrogant about it...[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2150603
Imagine uki-skip hata pigo moja tu mtu hoi...yaani we acha tu. Lakini ndo tunaubebesha majukumu lukuki hata ambayo haukuumbiwa kuhangaika nayo [emoji51]Daah huo moyo hadi unatisha bana
Yaani moyo una kazi kweli.Imagine uki-skip hata pigo moja tu mtu hoi...yaani we acha tu. Lakini ndo tunaubebesha majukumu lukuki hata ambayo haukuumbiwa kuhangaika nayo [emoji51]
Acha tuImagine
Moyo sukuma damu mengine waachie walimwengu....and stay away from girls who know their worth; and are arrogant about it...[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2150603
Yaani...Daah huo moyo hadi unatisha bana
Hahahaha[emoji848]View attachment 2150489