Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,447
- 8,698
The real meaning of salary! That's why self employment is much better.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushaumaliza nini 🤣🤣The real meaning of salary! That's why self employment is much better.
Sent using Jamii Forums mobile app
HahaaaaYaani unapika na kula unachojiskia , kuna siku nimefikiria wee nikatamani kutoa kitu cha kuku kama KFC, si nikaingia jikoni aiseee kilichotokea ni KFC ya buza labda😂😂
Kwa hiyo huyu mama tumepishana miaka 2 tu?


Ukiishi kwa buku 10 wiki nzima aisee naacha kugegeda. Hili ni bonge la fix. Labda useme ulikuwa washinda njaaWewe unahisi ni rahisi una sh 10000 tu afu ni ya kusurvive week nzima, bado bill ya maji hapo, wewe acha hizo bana. Wanaokula kwa mama hawaijui hiyoo