Huyo ni Jaguar wa south America akimuonea Caiman wa huko huko. Leopard wa Africa ni mkubwa kuliko Jaguar lakini hana jeuri kwa Nile crocodile ambaye naye ni mkubwa sana kuliko Caiman.
Chui hana lolote kwa mamba, huyo hapo kamkamata alligator (sijui Kiswahili chake).....
Mamba ni shughuli nyingine bana...ona hapa, na uzingatie huyu ni mamba bado mchanga.