🤣🤣🤣🤣...hiyo 442 haifai. Happ unatakiwa uende na fomesheni ya 1-1-8
🤣🤣🤣🤣...hiyo 442 haifai. Happ unatakiwa uende na fomesheni ya 1-1-8
Ah huyo anaweza spa anytime so hapo wewe hamna cha kukaba hapo ni mashambulizi full nondo mpaka bao lipatikaneWeeee. Sekunde utapigwa. Weka beka uvutevute muda![]()
Sasa kama haifanyi kazi usiambiwe


Kwa hadhi ya ProJ kuchangiwa na Mtu km mim ni kumvunjia heshima na kwa vile matendo yetu yanaratibiwa na muweza wa yote nitafanya subra ili nijue hatma yangu na ya Pro.Tumchangie ka mkubwaView attachment 2115282