Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Homa kali
FB_IMG_16443378771257465.jpg
 
Ulienda Dutwa kutafuta nini? Ni zile dhahabu za pale ama?

Hizo hazikuwa chapati bali michembe labda. Na ulikosa wenyeji tu. Pale Dutwa kuna kamkahawa kamoja wanapika chapati nzuri sana kiasi kwamba mpaka huwa nazikumbuka
Brother acha tu. Kule gasuma nilipata tabu sana. Chakula cha pale nilihangaika
 
Sasa huu upuuzi ndo wakumtoa Mbowe!!
Mimi bado nasisitiza,msishadie mambo ya vituko tu yanapoletwa mitandaoni kuhusu hili sakata la Mbowe,anaweza pigwa mvua mkashangaa.

Hao huwa wanaleta tu kile wanachokiona kihoja,but naamini kwenye mgongano wa hoja kwa hoja hamtaona wakipost.
Tuko jukwaa la vituko mitandaoni kakini
 
Back
Top Bottom