Tuma pesa kwanza, nitairudsha iwe mpyaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwel mshahara wa dhambi n mauti, roho za marehem zlazwe znapostahili kulazwa.NJOMBE: Mganga wa kienyeji aitwaye Joseph Mgunda (41) anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kuwaua Suzana Mtitu (38) na Kassim Kitamkanga (35) baada ya dawa ya utajiri aliyowapa kuonekana haifanyi kazi
Anadaiwa kuwaahidi wateja wake utajiri
Soma - Njombe: Wawili wauawa na Mganga wa kienyeji
#JFLeoView attachment 2108897
Weee! Huenda n kweli......[emoji848]Uuu'umbeyaView attachment 2108901![]()
Mbona kama n kweli hahahahahahah, uwiii nmechawiwaa [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Au syoo, ukiamka ww inatosha kijana mwenzangu.....[emoji1787][emoji1787]
Huu n ukweli ulio dhahir shahiri [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huku s n kujiua jaman [emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]unatafuta kupigwa mawe na watu wa Tecno[emoji1787]View attachment 2109288
N ukweli mtupuInatafakalishaaView attachment 2109291