[emoji1787][emoji1787]Nimempigia Nifa akaniuliza eti kwani we una tumbo nikamwambia sina akanikatia simu eti[emoji3]!
Ati; huyu binti kajiua (suicide) au kauwawa (homicide)? Kwa nini? Swali hili lilikuwa kwenye interview ya watu waliokuwa wakiomba kuwa maajenti wa FBI.....
View attachment 2105961
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanafikiri ni yutyubu pekee[emoji16] [emoji16] wengine sikuhizi mabando sasa yanakaa sana, serikali inakosa mapato huku