moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,360
- 775,885
Labda uwe unamficha benki [emoji23][emoji23][emoji23]Mbona inawezekana mkuu ukawa na dem halafu wa kwako pekeako[emoji16]
Labda uwe unamficha benki [emoji23][emoji23][emoji23]Mbona inawezekana mkuu ukawa na dem halafu wa kwako pekeako[emoji16]
Yalalala[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]hhh
Tena awe na besty yake.....hapo mbona utasema bahati ndio hiiMafisi[emoji16][emoji16]View attachment 2108103
[emoji28][emoji28] daah eti jifunzeni, na kamsambwanda kawepo...hivi mnajuaga tunajiumba eti?Kuna wengine wembamba mnazidisha. Jifunzeni kubakisha vinyama nyama angalau...na ka msambwanda kawepo [emoji116]. Siyo mtu unakuwa mwembamba yaani mifupa mitupu! Mwanamke wa Kiafrika kwa kweli hapaswi kuwa hivyo!
View attachment 2108120
[emoji16] [emoji16] nimemuonea huruma tuMy wangu huzitaki??
Mimi naamini wapo wanaoridhika mkuu, mbona kuna hata wanaume zipu zao zimefungwa vizuri tu hawana mambo mengi! Japo watakuwa wachache sanaKitu kimoja ambacho wanaume tunajidanganya ni kwamba wanawake wanaridhika na dushe moja....wao ni binadamu kama sie wana curiosity na hisia kama zetu so wee kaa ukijua naona wanataka kuonja onja