Vituko mitandaoni. Tupia chako

Ya kwako inaendeleaje? Maana nyinyi wapenda kusuluhisha za wengine mara nyingi za kwenu zilishawashinda [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji23][emoji23][emoji23]ya kwangu ipo ICU[emoji16]Nimepewa nguvu ya kuziinua za watu[emoji23]

mzee wiki ya michepuko hii[emoji23],watu wanalia michepuko inaleta migogoro kwenye ndoa zao,

Wacha tu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…